Marko 15:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192141 hawa ndio waliomfuata alipokuwa Galilaya, na kumkhudumia; na wengine wengi waliopanda pamoja nae hatta Yerusalemi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Hawa walimfuata Yesu alipokuwa Galilaya na kumtumikia. Kulikuwa na wanawake wengine wengi waliokuja Yerusalemu pamoja naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Hawa walifuatana na Isa na kushughulikia mahitaji yake alipokuwa Galilaya. Pia walikuwako wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye hadi Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Hawa walifuatana na Isa na kushughulikia mahitaji yake alipokuwa Galilaya. Pia walikuwepo wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja pamoja naye Yerusalemu. Tazama sura |