Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Palikuwako na wanawake wakitazama kwa mbali; katika hawa alikuwa Mariamu Magdalene, na Mariamu mama wa Yakobo mdogo na wa Yose, na Salome:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Walikuwako pia wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao akiwa Maria Magdalene, Salome, na Maria mama wa kina Yakobo mdogo na Yose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Walikuwako pia wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao akiwa Maria Magdalene, Salome, na Maria mama wa kina Yakobo mdogo na Yose.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Walikuwako pia wanawake waliotazama kwa mbali, miongoni mwao akiwa Maria Magdalene, Salome, na Maria mama wa kina Yakobo mdogo na Yose.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Palikuwa na wanawake waliokuwa wakiangalia kwa mbali. Miongoni mwao walikuwa Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo mdogo na Yose, pia na Salome.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Walikuwepo pia wanawake waliokuwa wakiangalia kwa mbali. Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo mdogo na Yose, pia na Salome.

Tazama sura Nakili




Marko 15:40
18 Marejeleo ya Msalaba  

Filipo, na Bartolomayo, na Tomaso, na Mattayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Lebbayo, aliyekwitwa Thaddayo;


Huyu si mwana wa sermala? mama yake sio yeye aitwae Mariamu? Na ndugu zake Yakobo, na Yose, na Simon, na Yuda?


Walikuwako hapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi.


SABATO ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, akaenda Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, kulitazama kaburi.


Mariamu Magdalene na Mariamu wa Yose wakapatazama alipowekwa.


HATTA sabato ilipokwisha kupita, Mariamu Magdalene na Mariamu wa Yakobo na Salome walinunua manukato wapate kwenda kumpaka.


Alipofufuka Yesu assubuhi siku ya kwanza ya sabato alimtokea kwanza Mariamu Magdalene, ambae kwamba alimtoa pepo saba.


akatafuta kumwona Yesu, ni mtu gani, asiweze lakini kwa sababu ya makutano, maana kimo chake alikuwa mfupi.


Marafiki zake wote wakasimama kwa mbali, nao wanawake waliofuatana nae toka Galilaya, wakiangalia haya,


Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?


Lakini sikumwona mtume mwingine illa Yakobo ndugu yake Bwana.


YAKOBO, mtumwa wa Mungu, na Bwana Yesu Kristo, kwa kabila thenashara zilizotawanyika, salamu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo