Marko 15:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Pilato akamwuliza tena akinena, Hujibu neno? Tazama mambo mangapi wanayokushitaki! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Pilato akamwuliza tena Yesu, “Je, hujibu neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Pilato akamwuliza tena Yesu, “Je, hujibu neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Pilato akamwuliza tena Yesu, “Je, hujibu neno? Tazama wanavyotoa mashtaka mengi juu yako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Pilato akamuuliza tena, “Je, huna la kujibu? Tazama ni mashtaka mangapi wanayaleta juu yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Pilato akamuuliza tena, “Je, huna la kujibu? Tazama ni mashtaka mangapi wanayaleta juu yako.” Tazama sura |