Marko 15:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192138 Pazia la patakatifu likapasuka vipande viwili toka juu hatta chini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini. Tazama sura |