Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 15:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Mtu akapiga mbio, akajaza sifongo siki, akaitia jim ya unyasi, akamnywesha, akisema, Acheni; na tuone kwamba Eliya anakuja kumshusha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Mtu mmoja akakimbia, akaichovya sifongo katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe akisema, “Hebu tuone kama Elia atakuja kumteremsha msalabani!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Mtu mmoja akakimbia, akaichovya sifongo katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe akisema, “Hebu tuone kama Elia atakuja kumteremsha msalabani!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Mtu mmoja akakimbia, akaichovya sifongo katika siki, akaiweka juu ya mwanzi, akampa anywe akisema, “Hebu tuone kama Elia atakuja kumteremsha msalabani!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Mtu mmoja akaenda mbio, akachovya sifongo kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Isa ili anywe, akisema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumshusha kutoka hapo msalabani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Mtu mmoja akaenda mbio, akachovya sifongo kwenye siki, akaiweka kwenye mwanzi na akampa Isa ili anywe, akisema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumshusha kutoka hapo msalabani.”

Tazama sura Nakili

Marko 15:36
7 Marejeleo ya Msalaba  

Marra mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya unyasi, akamnywesha.

Wakampa mvinyo iliyotiwa manemane anywe, nae hakupokea.

Na baadhi yao waliohudhuria, wakisikia, wakasema, Anamwita Eliya.

Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.

Askari wakamdhihaki, wakimjia, wakimpa siki, na kusema,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo