Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Na baadhi yao waliohudhuria, wakisikia, wakasema, Anamwita Eliya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Baadhi ya watu waliosimama pale waliposikia hivyo, walisema, “Sikiliza! Anamwita Elia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni, anamwita Ilya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Baadhi ya watu waliokuwa wamesimama karibu waliposikia hayo, wakasema, “Msikieni anamwita Ilya.”

Tazama sura Nakili




Marko 15:35
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na saa tissa Yesu akapiga kelele kwa sauti kuu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? tafsiri yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?


Mtu akapiga mbio, akajaza sifongo siki, akaitia jim ya unyasi, akamnywesha, akisema, Acheni; na tuone kwamba Eliya anakuja kumshusha.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo