Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Na saa tissa Yesu akapiga kelele kwa sauti kuu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? tafsiri yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, akasema, “Eloi, Eloi, lema sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, akasema, “Eloi, Eloi, lema sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Saa tisa alasiri Yesu akalia kwa sauti kubwa, akasema, “Eloi, Eloi, lema sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Hapo saa tisa, Isa akapaza sauti, akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” (maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Mnamo saa tisa, Isa akapaza sauti, akalia, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?” Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”

Tazama sura Nakili




Marko 15:34
16 Marejeleo ya Msalaba  

Tangu saa sita palikuwa giza juu ya inchi yote hatta saa tissa.


Na kama saa tissa, Yesu akapaaza sauti yake kwa nguvu akinena, Eli, Eli, lama sabakhthani? maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?


Ikawa saa tatu wakamsulibi.


Na baadhi yao waliohudhuria, wakisikia, wakasema, Anamwita Eliya.


Ikapata kama saa a sita, pakawa giza juu ya inchi yote hatta saa a tissa,


Yesu akalia kwa sauti kuu, akasema, Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu: na alipokwisha kusema haya akatoa roho.


Akaona katika njozi wazi wazi, panapo saa tissa ya mchana, malaika wa Mungu akimjia na kumwambia, Kornelio!


Yeye siku hizo za niwili wake alimtolea yeye awezae kumwokoa na kumtoa katika mauti, maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, akasikilizwa kwa sababu ya kicho chake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo