Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 15:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Nao waliopita wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa vyao, wakisema, Ah! wewe mwenye kulivunja hekalu na kulijenga kwa siku tatu,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana, wakitikisa vichwa vyao na kusema, “Aha! Wewe mwenye kuvunja hekalu na kulijenga kwa siku tatu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana, wakitikisa vichwa vyao na kusema, “Aha! Wewe mwenye kuvunja hekalu na kulijenga kwa siku tatu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Watu waliokuwa wanapita mahali hapo walimtukana, wakitikisa vichwa vyao na kusema, “Aha! Wewe mwenye kuvunja hekalu na kulijenga kwa siku tatu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao na kusema, “Aha! Wewe ambaye utalivunja Hekalu na kulijenga kwa siku tatu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Watu waliokuwa wakipita njiani wakamtukana huku wakitikisa vichwa vyao na kusema, “Aha! Wewe ambaye utalivunja Hekalu na kulijenga kwa siku tatu,

Tazama sura Nakili

Marko 15:29
16 Marejeleo ya Msalaba  

Baadae mashahidi wa uwongo wawili wakatokea wakasema, Huyu alisema, Naweza kulivunja hekalu ya Mungu, na kuijenga kwa siku tatu.

Sisi twalimsikia akiseina, Mimi nitaivunja hekalu hii iliyofanyika kwa mikono, na kwa siku tatu nitajenga ingine isiyofanyika kwa mikono;

Bassi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na maasi.

jiponye nafsi yako, shuka msalabani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo