Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Na pamoja nae walisulibi wanyangʼanyi wawili, mmoja mkono wake wa kuume na mmoja mkono wake wa kushoto.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Pamoja naye waliwasulubisha wanyanganyi wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto. [

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Pamoja naye waliwasulubisha wanyanganyi wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto. [

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Pamoja naye waliwasulubisha wanyang'anyi wawili, mmoja upande wake wa kulia na mwingine upande wake wa kushoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Pamoja naye walisulubiwa wanyang’anyi wawili, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto. [

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Pamoja naye walisulubiwa wanyang’anyi wawili, mmoja upande wake wa kuume na mwingine upande wa kushoto. [

Tazama sura Nakili




Marko 15:27
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wanyangʼanyi wawili wakasulibiwa pamoja nae, mmoja mkono wake wa kuume, na mmoja mkono wake wa kushoto.


Anwani ya mshitaka wake iliandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDU.


Bassi andiko likatimizwa linenalo, Alihesabiwa pamoja na maasi.


Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Nao waliosulibiwa pamoja nae wakamlaumu,


wakamsulibisha huko, na wengine wawili pamoja nae, huko na huko, na Yesu katikati.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo