Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Anwani ya mshitaka wake iliandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDU.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Na shtaka dhidi yake lilikuwa limeandikwa, “Mfalme wa Wayahudi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: Mfalme wa Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “mfalme wa wayahudi.”

Tazama sura Nakili




Marko 15:26
14 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyola yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudu.


Wakaweka juu ya kichwa chake mshitaka wake, ulioandikwa, HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.


Pilato akamwuliza, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajihu, akamwambia, wewe unasema.


Na pamoja nae walisulibi wanyangʼanyi wawili, mmoja mkono wake wa kuume na mmoja mkono wake wa kushoto.


Kristo, mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani tupate kuona na kuamini. Nao waliosulibiwa pamoja nae wakamlaumu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo