Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 15:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Wakamleta mahali palipokwitwa Golgotha, tafsiri yake, mahali pa kichwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kisha wakampeleka Isa hadi mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kisha wakampeleka Isa mpaka mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa).

Tazama sura Nakili

Marko 15:22
4 Marejeleo ya Msalaba  

Angalia, mwanamke bikira atachukua mimba, nae atazaa mwana, Na watamwita jina lake Immanuel; tafsiri yake, Mungu kati yetu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo