Marko 15:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Hatta wakiisha kumdhihaki, wakamvua lile vazi jekundu, wakamvika nguo zake mwenyewe; wakamchukua nje wamsulibishe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Baada ya kumdhihaki, walimvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Baada ya kumdhihaki, walimvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Baada ya kumdhihaki, walimvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Walipokwisha kumdhihaki, wakamvua lile joho la zambarau, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakamtoa nje ili wakamsulubishe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Walipokwisha kumdhihaki, wakamvua lile joho la zambarau, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakamtoa nje ili wakamsulubishe. Tazama sura |