Marko 15:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19212 Pilato akamwuliza, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi? Akajihu, akamwambia, wewe unasema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Pilato akamwuliza Yesu, “Je, wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Pilato akamwuliza Yesu, “Je, wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Pilato akamwuliza Yesu, “Je, wewe ni Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Pilato akamuuliza, “Je, wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?” Isa akajibu, “Wewe umesema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Pilato akamuuliza, “Je, wewe ndiwe Mfalme wa Wayahudi?” Isa akajibu, “Wewe umesema.” Tazama sura |