Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 15:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Askari wakamchukua ndani ya sebule, ndiyo Praitorio, wakakusanya pamoja kikosi kizima.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kisha askari walimpeleka Yesu ndani ukumbini, katika ikulu, wakakusanya kikosi kizima cha askari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kisha askari walimpeleka Yesu ndani ukumbini, katika ikulu, wakakusanya kikosi kizima cha askari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kisha askari walimpeleka Yesu ndani ukumbini, katika ikulu, wakakusanya kikosi kizima cha askari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Askari wakampeleka Isa hadi kwenye ukumbi wa ndani wa jumba la kifalme, ndio Praitorio, wakakusanya kikosi kizima cha askari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Askari wakampeleka Isa hadi kwenye ukumbi wa ndani wa jumba la kifalme, ndio Praitorio, wakakusanya kikosi kizima cha askari.

Tazama sura Nakili

Marko 15:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo makubani wakuu, na waandishi, na wazee wa watu wakakusanyika katika behewa ya kuhani mkuu aliyeitwa Kayafa;

Wakamvika vazi jekundu, wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani;

Bassi wakamchukua Yesu kutoka kwa Kayafa hatta Praitorio; ikawa alfajiri; lakini wao wenyewe hawakuingia ndani ya Praitorio, wasije wakatiwa najis, bali waile Pasaka.

Bassi Pilato akaingia Praitorio tena, akamwita Yesu, akamwambia, Wewe ndiwe mfalme wa Wayahudi?

Askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika vazi jekundu; wakawa wakimwendea,

akaingia tena Praitorio, akamwamhia Yesu, Umetoka wapi wewe? Lakini Yesu hakumpa jibu lo lote.

PALIKUWA na mtu Kaisaria, jina lake Kornelio, akida wa kikosi kilichoitwa Kiitaliano,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo