Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Makuhani wakuu wakawataharakisha makutano, illi apende kuwafungulia Barabba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Lakini makuhani wakuu wakawachochea watu wamwombe Pilato awafungulie Baraba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Lakini viongozi wa makuhani wakachochea umati ule wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Lakini viongozi wa makuhani wakauchochea ule umati wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake.

Tazama sura Nakili




Marko 15:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nao makuhani wakuu na wazee wakawashawishi makutano illi wamtake Barabba, na kumwangamiza Yesu.


Kwa maana alifahamu ya kuwa makuhani wakuu wamemtoa kwa husuda.


Pilato akajibu tena akawaambia, Bassi wataka nimtendeni huyu mnenae kuwa Mfalme wa Wayahudi?


Bassi wakapiga kelele marra ya pili, wote pia, wakinena, Si huyu, bali Barabba. Nae Barabba alikuwa mnyangʼanyi.


Ninyi mlimkana yule Mtakatifu, yule Mwenye haki, mkataka mpewe muuaji:


Tufuate:

Matangazo


Matangazo