Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 15:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Kwa maana alifahamu ya kuwa makuhani wakuu wamemtoa kwa husuda.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Alisema hivyo kwa sababu alijua wazi kwamba makuhani wakuu walimkabidhi Yesu kwake kwa sababu ya wivu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Kwa maana yeye alitambua kuwa viongozi wa makuhani walikuwa wamemtia Isa mkononi mwake kwa ajili ya wivu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Kwa maana yeye alitambua kuwa viongozi wa makuhani walikuwa wamemtia Isa mikononi mwake kwa ajili ya wivu.

Tazama sura Nakili




Marko 15:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa husuda.


Makuhani wakuu wakawataharakisha makutano, illi apende kuwafungulia Barabba.


Pilato akawajibu, akisema, Mnataka niwafungulie mfalme wa Wayahudi?


Bali Wayahudi, walipowaona makutano, wakajaa wivu, wakayabisha maneno yaliyonenwa na Paolo, wakibisha na kutukana.


Maana hapo zamani sisi nasi tulikuwa hatuna akili, maasi, tumedanganywa, tukitumikia tamaa na anasa za namna nyingi, tukienenda katika uovu na husuda, tukichukiza na kuchukiana.


Au mwadhani ya kwamba maandiko yasema burre? Roho ikaayo ndani yetu hutamani kiasi cha kuona wivu?


si kama Kain alivyokuwa wa yule Mwovu, akamwua ndugu yake. Nae alimwua kwa sababu gani? Kwa sababu matendo yake yalikuwa mabaya, na ya ndugu yake ya haki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo