Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 14:69 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

69 Na yule kijakazi akamwona tena, akaanza kuwaambia waliohudhuria, Huyu ni mmoja wao. Akakana tena.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

69 Yule mtumishi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, “Mtu huyu ni mmoja wao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

69 Yule mtumishi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, “Mtu huyu ni mmoja wao.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

69 Yule mtumishi alipomwona tena Petro, akaanza tena kuwaambia watu waliokuwa wamesimama hapo, “Mtu huyu ni mmoja wao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

69 Yule mjakazi alipomwona mahali pale, akawaambia tena wale waliokuwa wamesimama hapo, “Huyu mtu ni mmoja wao.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

69 Yule mtumishi wa kike alipomwona mahali pale, akawaambia tena wale waliokuwa wamesimama hapo, “Huyu mtu ni mmoja wao.”

Tazama sura Nakili




Marko 14:69
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kesheni, kasalini, msipate kuingia majaribuni: roho ina nia njema, hali mwili dhaifu.


Akakana, akasema, Sijui wala si sikii usemavyo. Akatoka nje hatta ukumbini; jogoo akawika.


Punde kidogo wale waliohudhuria wakamwambia Petro, Hakika u mmoja wao, kwa sababu u Mgalilaya wewe, na usemi wako kama usemi wao.


Na punde baadae mwingine akamwona, akasema, Na wewe u mmoja wao. Petro akasema, Ewe mtu, sio mimi.


Bassi yule kijakazi aliye mngoje mlango akamwambia Petro, Wewe nawe, je! huwi mmojawapo wa wanafunzi wake mtu huyu? Yeye akasema, Si mimi.


Na Simon alikuwa akisimama, anakola moto. Bassi wakamwambia, Wewe nawe je! huwi mmojawapo wa wanafunzi wake? Yeye akanena, Sio mimi.


NDUGU, mtu ajapogbafilika katika kosa lo lote, ninyi mlio wa Roho mrudini mtu kama huyo kwa roho ya upole, ukijiangalia nafsi yako nsijaribiwe wewe mwenyewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo