Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 14:67 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

67 akamtazama, akasema, Wewe nawe ulikuwa pamoja na yule Mnazareti, Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

67 Alipomwona Petro akiota moto, alimtazama, akamwambia, “Hata wewe ulikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

67 Alipomwona Petro akiota moto, alimtazama, akamwambia, “Hata wewe ulikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

67 Alipomwona Petro akiota moto, alimtazama, akamwambia, “Hata wewe ulikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

67 Alipomwona Petro akiota moto, akamtazama sana, akamwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Isa, Mnasiri.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

67 Alipomwona Petro akiota moto, akamtazama sana, akamwambia, “Wewe pia ulikuwa pamoja na Isa, Mnasiri.”

Tazama sura Nakili




Marko 14:67
9 Marejeleo ya Msalaba  

akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.


Makutano wakanena, Huyu ni Yesu, yule nabii wa Nazareti ya Galilaya.


akinena, Tʼuna nini nawe, Yesu Mnazareti? umekuja kutuangamiza? Nakutambua wewe, Mtakatifu wa Mungu.


Aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, akaanza kupaaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daud, Yesu, unirehemu.


Petro akamfuata mbali, hatta ndani katika behewa ya kuhani mkuu; akaketi pamoja na watumishi, anakota moto.


Na wale watumishi na askari walikuwa wamesimama, wamefanya moto wa makaa; maana ilikuwa baridi, wakawa wakikota moto. Petro nae, alikuwa pamoja nao, anakota moto.


Pilato akaandika anwani, akaiweka juu ya msalaba, imeandikwa, YESU MNAZARETI, MFALME WA WAYAHUDI.


khabari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na uguvu: nae akatembea huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Shetani; kwa maana Mungu alikuwa pamoja nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo