Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 14:66 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

66 Na Petro alikuwa chini sebuleni, akaja mmoja wa vijakazi wa kuhani mkuu: akamwona Petro akikota moto;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

66 Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

66 Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

66 Petro alipokuwa bado chini uani, mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu alikuja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

66 Petro alipokuwa bado yuko chini uani, tazama akaja mmoja wa wajakazi wa kuhani mkuu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

66 Petro alipokuwa bado yuko chini kwenye ua wa jumba la kifalme, tazama akaja mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu.

Tazama sura Nakili




Marko 14:66
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo makubani wakuu, na waandishi, na wazee wa watu wakakusanyika katika behewa ya kuhani mkuu aliyeitwa Kayafa;


Na Petro akamfuata kwa mbali hatta behewa ya kuhani mkuu, akaingia ndani, akaketi pamoja na watumishi, auone mwisho.


Petro akamfuata mbali, hatta ndani katika behewa ya kuhani mkuu; akaketi pamoja na watumishi, anakota moto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo