Marko 14:64 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192164 Mmesikia kufuru yake; mwaonaje? Wote wakamhukumu kuwa amepasiwa kufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema64 Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND64 Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza64 Mmesikia kufuru yake! Nyinyi mwaonaje?” Wote wakaamua kwamba anastahili kuuawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu64 Ninyi mmesikia alivyokufuru. Uamuzi wenu ni gani?” Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu64 Ninyi mmesikia hayo makufuru. Uamuzi wenu ni gani?” Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo. Tazama sura |