Marko 14:63 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192163 Kuhani mkuu akararua nguo zake, akisema, Tuna baja gani ya mashahidi wengine? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema63 Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND63 Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza63 Hapo kuhani mkuu akararua joho lake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu63 Kuhani mkuu akayararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu63 Kuhani mkuu akararua mavazi yake, akasema, “Tuna haja gani tena ya mashahidi zaidi? Tazama sura |