Marko 14:61 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192161 Lakini akanyamaza, wala hakujibu neno. Knbani mkuu akamwuliza tena, akamwambia, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wake aliye Mtukufu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema61 Lakini yeye akakaa kimya; hakusema hata neno moja. Kuhani mkuu akamwuliza tena, “Je, wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu Mtukufu?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND61 Lakini yeye akakaa kimya; hakusema hata neno moja. Kuhani mkuu akamwuliza tena, “Je, wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu Mtukufu?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza61 Lakini yeye akakaa kimya; hakusema hata neno moja. Kuhani mkuu akamwuliza tena, “Je, wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu Mtukufu?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu61 Lakini Isa akakaa kimya, hakusema neno lolote. Kuhani mkuu akamuuliza tena, “Je, wewe ndiwe Al-Masihi, Mwana wa Mungu Aliyebarikiwa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu61 Lakini Isa akakaa kimya, hakusema neno lolote. Kuhani mkuu akamuuliza tena, “Je, wewe ndiwe Al-Masihi, Mwana wa Mwenyezi Mungu Aliyebarikiwa?” Tazama sura |