Marko 14:56 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192156 Kwa maana wengi walimshuhudia uwongo, na ushuhuda wao haukupatana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 Watu wengi walitoa ushahidi wa uongo juu ya Yesu, lakini ushahidi wao haukupatana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 Wengi walitoa ushahidi wa uongo dhidi yake, lakini maelezo yao hayakukubaliana. Tazama sura |