Marko 14:55 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192155 Makuhani wakuu na baraza wote wakatafuta ushuhuda juu ya Yesu wapate kumwua: wasione. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema55 Makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa kumshtaki Yesu wapate kumwua, lakini hawakuupata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND55 Makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa kumshtaki Yesu wapate kumwua, lakini hawakuupata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza55 Makuhani wakuu na Baraza lote wakatafuta ushahidi wa kumshtaki Yesu wapate kumwua, lakini hawakuupata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu55 Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi lote wakatafuta ushahidi dhidi ya Isa ili wapate kumuua. Lakini hawakupata jambo lolote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu55 Viongozi wa makuhani na Baraza la Wayahudi lote wakatafuta ushahidi dhidi ya Isa ili wapate kumuua. Lakini hawakupata jambo lolote. Tazama sura |