Marko 14:52 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192152 wakamkamata; nae akaiacha ile nguo ya katani, akawakimbia, yu uchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Lakini yeye akaponyoka, akaiachilia ile shuka, akakimbia uchi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 alikimbia uchi, akaliacha vazi lake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 alikimbia uchi, akaliacha vazi lake. Tazama sura |