Marko 14:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192151 Na kijana mmoja alimfuata, amejitanda nguo ya katani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Kulikuwa na kijana mmoja aliyekuwa anamfuata Yesu akiwa amevaa shuka. Nao wakajaribu kumkamata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Kijana mmoja, aliyekuwa amevaa nguo ya kitani pekee, alikuwa akimfuata Isa. Walipomkamata, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Kijana mmoja, ambaye hakuwa amevaa kitu isipokuwa alijitanda nguo ya kitani, alikuwa akimfuata Isa. Walipomkamata, Tazama sura |