Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 14:48 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

48 Yesu akajibu, akawaambia, Kama juu ya mnyangʼanyi mmetoka na panga na marungu, kuja kunitwaa?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

48 Yesu akawaambia, “Je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyanganyi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

48 Yesu akawaambia, “Je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyanganyi?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

48 Yesu akawaambia, “Je, mmekuja na mapanga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyang'anyi?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

48 Kisha Isa akawaambia, “Mmekuja na panga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyang’anyi?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

48 Kisha Isa akawaambia, “Mmekuja na panga na marungu kunikamata kana kwamba mimi ni mnyang’anyi?

Tazama sura Nakili




Marko 14:48
7 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa akisema, Yuda, mmoja wa wale thenashara akaja, na pamoja nae makutano mengi, wana panga na marungu, wametoka kwa makuhani wakuu na wazee wa watu.


Saa ile Yesu akawaambia makutano, Je, mmetoka, mfano wa watu wafukuzao mnyangʼanyi mna panga na marungu, kunitwaa? Killa siku naliketi mbele zenu hekaluni, nikifundisha, wala hamkunikamata.


Na mmoja wao waliohudhuria akavuta upanga, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu, akamkata sikio.


Killa siku nalikuwa mbele yenu bekaluni nikifundisha, wala hamkunikamata: lakini maandiko yapate kutimia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo