Marko 14:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192147 Na mmoja wao waliohudhuria akavuta upanga, akampiga mtumwa wa kuhani mkuu, akamkata sikio. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema47 Mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo pamoja na Yesu, akachomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND47 Mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo pamoja na Yesu, akachomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza47 Mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo pamoja na Yesu, akachomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu47 Ndipo mmoja wa wale waliokuwa wamesimama karibu aliuchomoa upanga wake na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu47 Ndipo mmoja wa wale waliokuwa wamesimama karibu aliuchomoa upanga wake na kumpiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. Tazama sura |