Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 14:45 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

45 Alipokuja, marra akamwendea, akasema, Rabbi, Rabbi; akambusu sana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

45 Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akamwambia, “Mwalimu!” Kisha akambusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

45 Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akamwambia, “Mwalimu!” Kisha akambusu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

45 Yuda alipofika tu, alimwendea Yesu moja kwa moja, akamwambia, “Mwalimu!” Kisha akambusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

45 Mara Yuda akamjia Isa na kusema, “Mwalimu.” Akambusu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

45 Mara Yuda akamjia Isa na kusema, “Mwalimu.” Akambusu.

Tazama sura Nakili

Marko 14:45
10 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta walipofika wakamwambia, Mwalimu, twajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, wala hujali cheo cha mtu; kwa maana hutazami sura za watu: lakini katika kweli waifundisha njia ya Mungu. Je! ni halali kumpa Kaisari kodi au sivyo? Tumpe, tusimpe?

Na yeye anaemsaliti amewapa ishara, akisema, Nitakaembusu, ndiye; mkamateni, mehukueni salama.

Wakanyosha mikono yao wakamkamata.

Ya nini kuniita Bwana, Bwana, nanyi hamyatendi niyanenayo?

Yesu akamwambia, Mariamu. Yeye akageuka, akamwambia kwa Kiebrania, Rabboni (tafsiri yake Mwalimu).

Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabbi, ule.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo