Marko 14:43 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192143 Na alipokuwa katika kusema marra Yuda akafika, mmoja wa wathenashara, na pamoja nae mkutano, wana panga na marungu, wametoka kwa makuhani wakuu, na waandishi, na wazee. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Yesu alipokuwa bado anasema, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, waalimu wa sheria na wazee. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Yesu alipokuwa bado anasema, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, waalimu wa sheria na wazee. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Yesu alipokuwa bado anasema, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, waalimu wa sheria na wazee. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Isa alipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale kumi na wawili, akatokea. Alikuwa amefuatana na umati wa watu wenye panga na marungu, waliokuwa wametumwa na viongozi wa makuhani, walimu wa Torati, na wazee. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Isa alipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale wanafunzi Kumi na Wawili, akatokea. Alikuwa amefuatana na umati wa watu wenye panga na marungu, waliokuwa wametumwa na viongozi wa makuhani, walimu wa Torati, na wazee. Tazama sura |