Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 14:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Palikuwa na watu waliochukiwa katika nafsi zao wakisema, Ya nini kupoteza marhamu namna hii?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika, wakajisemea, “Kwa nini kupoteza ovyo marashi haya?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika, wakajisemea, “Kwa nini kupoteza ovyo marashi haya?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika, wakajisemea, “Kwa nini kupoteza ovyo marashi haya?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Baadhi ya watu waliokuwa pale walikasirika na wakasemezana, “Upotevu huu wote wa manukato ni wa nini?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Baadhi ya watu waliokuwepo pale walikuwa wakisemezana wao kwa wao, “Upotevu huu wote ni wa nini?

Tazama sura Nakili




Marko 14:4
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na wale kumi waliposikia, wakawakasirikia wale ndugu wawili.


Nae akiwapo Bethania, nyumbani mwa Simon mwenye ukoma, ameketi chakulani, akaja mwanamke mwenye kibweta cha alabastro cha marhamu ya hali udi, safi, ya thamani nyingi; akakivunja kibweta cha alabastro akaimimina kichwani pake.


maana marhamu hii ingalikuzwa kwa dinari mia tatu na kuzidi wakapewa maskini. Wakamnungʼunikia sana yule mwanamke.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo