Marko 14:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192133 Akamchukua Petro na Yakobo na Yohana pamoja nae, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Kisha akawachukua Petro, Yakobo na Yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Kisha akawachukua Petro, Yakobo na Yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Kisha akawachukua Petro, Yakobo na Yohane; akaanza kufadhaika sana na kuhangaika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Kisha akawachukua pamoja naye Petro, Yakobo na Yohana. Akaanza kuhuzunika sana na kutaabika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Kisha akawachukua pamoja naye Petro, Yakobo na Yohana. Akaanza kuhuzunika sana na kutaabika. Tazama sura |