Marko 14:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192132 Tena wakaja mahali jina lake Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda nisalipo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Basi, wakafika katika bustani iliyoitwa Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati mimi nasali.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Basi, wakafika katika bustani iliyoitwa Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati mimi nasali.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Basi, wakafika katika bustani iliyoitwa Gethsemane. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa wakati mimi nasali.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Wakaenda mahali paitwapo Gethsemane. Isa akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa, nami niende nikaombe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Wakaenda mahali paitwapo Gethsemane. Isa akawaambia wanafunzi wake, “Kaeni hapa, nami niende nikaombe.” Tazama sura |