Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 14:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Na Yesu akawaambia, Mtachukizwa nyote kwa ajili yangu nsiku huu: kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchunga, na kondoo watatawanyika.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Nyinyi nyote mtakuwa na mashaka nami; maana Maandiko Matakatifu yasema: ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Nyinyi nyote mtakuwa na mashaka nami; maana Maandiko Matakatifu yasema: ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Nyinyi nyote mtakuwa na mashaka nami; maana Maandiko Matakatifu yasema: ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Isa akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Isa akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: “ ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo watatawanyika.’

Tazama sura Nakili

Marko 14:27
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na yu kheri ye yote asiyechukiwa nami.

Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu: kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchunga, na kondoo wa kundi watatawanyika.

MANENO haya nimewaambieni msije mkachukizwa.

Saa inakuja, naam, imekwisha kuja, mtatawanyika killa mmoja kwa mambo yake, mtaniacha mimi peke yangu; wala mimi si peke yangu, kwa kuwa Baba yupo pamoja nami.

Katika jawabu yangu ya kwauza hakuna mtu aliyesimama pamoja nami, bali wote waliniacha; wasihesabiwe khatiya kwa jambo bili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo