Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 14:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Amin, nawaambieni, Sitakunywa tena kabisa uzao wa mzabibu, hatta siku ile nitakaponnywa mpya katika ufalme wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Kweli nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa upya katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Kweli nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa upya katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Kweli nawaambieni, sitakunywa tena divai ya zabibu mpaka siku ile nitakapoinywa upya katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika ufalme wa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Amin, nawaambia, sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi siku ile nitakapounywa mpya katika Ufalme wa Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili

Marko 14:25
9 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini nawaambieni, Sitakunywa kabisa tangu leo nzao huu wa mzabibu, hatta siku ile nitakapounywa mpya pamoja nanyi katika ufalme wa Baba yangu.

Akawaambia, Hii ni damu yangu, ya agano jipya, imwagikayo kwa ajili ya watu wengi.

Wakiisha kuimba wakatoka kwenda mlima wa mizeituni.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo