Marko 14:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Wakaanza kuhuzunika, wakamwambia, mmoja mmoja, Ni mimi? na mwingine, Ni mimi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza mmojammoja, “Je, ni mimi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza mmojammoja, “Je, ni mimi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza mmojammoja, “Je, ni mimi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wakaanza kuhuzunika na kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi, Bwana?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wakaanza kuhuzunika na kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi Bwana?” Tazama sura |