Marko 14:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192117 Ilipokuwa jioni yuaja pamoja na wathenashara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Ilipokuwa jioni, Yesu alifika pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Ilipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Ilipofika jioni, Isa akaja pamoja na wale wanafunzi wake kumi na wawili. Tazama sura |