Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 14:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Wanafunzi wakatoka, wakaenda mjini, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa pasaka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Wanafunzi wakaondoka, wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia. Wakaandaa karamu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Wanafunzi wakaondoka, wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia. Wakaandaa karamu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Wanafunzi wakaondoka, wakaenda mjini, wakakuta kila kitu sawa kama Yesu alivyokuwa amewaambia. Wakaandaa karamu ya Pasaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Wale wanafunzi wakaondoka na kwenda mjini, nao wakakuta kila kitu kama Isa alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Wale wanafunzi wakaondoka na kwenda mjini, nao wakakuta kila kitu kama Isa alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka.

Tazama sura Nakili

Marko 14:16
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nae mwenyewe atawaonyesha orofa kuhwa, imetandikwa tayari: huko tuandalieni.

Ilipokuwa jioni yuaja pamoja na wathenashara.

Wakaenda wakaona kama alivyowaambia, wakaiandalia Pasaka.

Akawaambia, Nilipowatuma bila mifuko na mkoba na viatu, mlipunguka kitu? Wakasema, Hapana.

Lakini nimewaambieni haya, illi kusudi saa ile itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi naliwaambieni. Haya sikuwaambieni tangu mwanzo, kwa sababu nalikuwa pamoja nanyi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo