Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 14:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Nae mwenyewe atawaonyesha orofa kuhwa, imetandikwa tayari: huko tuandalieni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Naye atawaonesha chumba kikubwa ghorofani kilichotayarishwa na kupambwa. Tuandalieni humo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Naye atawaonesha chumba kikubwa ghorofani kilichotayarishwa na kupambwa. Tuandalieni humo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Naye atawaonesha chumba kikubwa ghorofani kilichotayarishwa na kupambwa. Tuandalieni humo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Atawaonesha chumba kikubwa ghorofani, kilichopambwa tena kilicho tayari. Tuandalieni humo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani, kilichopambwa tena kilicho tayari. Tuandalieni humo.”

Tazama sura Nakili




Marko 14:15
12 Marejeleo ya Msalaba  

na po pote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, I wapi sebule ya wageni, niile pasaka, pamoja na wanafunzi wangu?


Wanafunzi wakatoka, wakaenda mjini, wakaona kama alivyowaambia, wakaiandaa pasaka.


Akamwambia marra ya tatu, Simon wa Yohana, Wanipenda mimi? Petro akahuzunika kwa kuwa alimwambia marra ya tatu, Wanipenda mimi? Akamwambia, Bwana, wewe unajua yote; unajua ya kuwa nakupenda. Yesu amwambia, Lisha kondoo zangu.


Hatta walipoingia, wakapanda orofani, walipokuwa wakikaa; Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea, Filipo na Tomaso, Bartolomayo na Mattayo, Yakobo wa Alfayo, na Simon Zelote, na Yuda wa Yakobo.


Palikiuwa na taa nyingi katika orofa ile walipokuwa wamekusanyika.


Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake; tena, killa alilajae jina la Bwana na aache uovu.


Wala hakuna kiumbe kisicho wazi mbele zake, lakini vitu vyote vi utupu, na kufunuliwa machoni pake aliye na mambo yetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo