Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 14:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 na po pote atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, Mwalimu asema, I wapi sebule ya wageni, niile pasaka, pamoja na wanafunzi wangu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 mpaka katika nyumba atakayoingia, mkamwambie mwenye nyumba, ‘Mwalimu anasema: Wapi chumba changu ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 mpaka katika nyumba atakayoingia, mkamwambie mwenye nyumba, ‘Mwalimu anasema: Wapi chumba changu ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 mpaka katika nyumba atakayoingia, mkamwambie mwenye nyumba, ‘Mwalimu anasema: wapi chumba changu ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Mwambieni mwenye nyumba ile atakayoingia, ‘Mwalimu anauliza: Kiko wapi chumba changu cha wageni, ambamo mimi na wanafunzi wangu tutakula Pasaka?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Mwambieni mwenye nyumba ile atakayoingia, ‘Mwalimu anauliza: Kiko wapi chumba changu cha wageni, ambamo mimi na wanafunzi wangu tutakula Pasaka?’

Tazama sura Nakili




Marko 14:14
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta alipokuwa akitoka kwenda njiani mtu mmoja akaja mbio, akampigia magoti, akamwuliza, Mwalimu mwema, nifanyeni nipate kuurithi uzima wa milele?


Na mtu akiwaambieni, Mbona mnafanya hivi? semeni, Bwana ana haja nae; na marra atampeleka hapa.


Akapeleka wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume akichukua mtungi wa maji; mfuateni:


Nae mwenyewe atawaonyesha orofa kuhwa, imetandikwa tayari: huko tuandalieni.


Na mtamwambia mwenye nyumba, Mwalimu akuambia, Ki wapi chumba cha wageni, nipate kula Pasaka humo pamoja na wanafunzi wangu?


Na alipokwisha kusema haya, akaenda zake, akamwita dada yake, Mariamu, kwa siri, akisema, Mwalimu yupo, anakuita.


Ninyi mwaniita Mwalimu, na Bwana; na mwanena vema, maana ndivyo nilivyo.


Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo