Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 14:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Hatta siku ya kwanza ya mikate isiyochachwa, walipoichinja Pasaka, wanafunzi wake wakamwambia, Wapi unataka tuende tukaandalie uile pasaka?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwanakondoo wa Pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, “Wataka tukuandalie wapi karamu ya Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwanakondoo wa Pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, “Wataka tukuandalie wapi karamu ya Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Siku ya kwanza ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wakati ambapo mwanakondoo wa Pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza, “Wataka tukuandalie wapi karamu ya Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Siku ya kwanza ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, siku ambayo kwa desturi mwana-kondoo wa Pasaka huchinjwa, wanafunzi wa Isa wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Siku ya kwanza ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, siku ambayo kwa desturi mwana-kondoo wa Pasaka huchinjwa, wanafunzi wa Isa wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Marko 14:12
16 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.

BAADA ya siku mbili ilikuwa siku kuu ya Pasaka, na mikate isiyochachwa: makuhani wakuu na waandishi wakatafuta njia ya kumkamata kwa hila na kumwua.

Nao waliposikia wakafurahi, wakaahidi kumpa fedha. Akatafuta njia ya kumsaliti wakati wa kufaa.

Akapeleka wawili katika wanafunzi wake, akawaambia, nendeni zenu mjini; atakutana nanyi mwanamume akichukua mtungi wa maji; mfuateni:

Hatta ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma Mwana wake, amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sharia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo