Marko 13:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia Wote, Kesheni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Ninayowaambieni nyinyi, nawaambia wote: Kesheni!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Ninayowaambieni nyinyi, nawaambia wote: Kesheni!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Ninayowaambieni nyinyi, nawaambia wote: Kesheni!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Lile ninalowaambia ninyi, nawaambia watu wote: ‘Kesheni!’ ” Tazama sura |