Marko 13:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Amin, nawaambieni, Kizazi hiki hakitapita kabisa, hatta haya yote yapatapo kuwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Nawaambieni kweli, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo hayo yote kutukia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. Tazama sura |