Marko 13:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 kadhalika na ninyi, myaonapo haya yanatukia, fahamuni ya kuwa ni karibu milangoni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo hayo yakitendeka, jueni kwamba Mwana wa Mtu yuko karibu sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo hayo yakitendeka, jueni kwamba Mwana wa Mtu yuko karibu sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Hali kadhalika nanyi mtakapoona mambo hayo yakitendeka, jueni kwamba Mwana wa Mtu yuko karibu sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni. Tazama sura |