Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 13:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Lakini siku hizo baada ya shidda ile jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 “Basi, siku hizo, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza na mwezi hautaangaza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 “Basi, siku hizo, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza na mwezi hautaangaza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 “Basi, siku hizo, baada ya dhiki hiyo, jua litatiwa giza na mwezi hautaangaza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 “Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza nao mwezi hautatoa nuru yake;

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 “Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, “ ‘jua litatiwa giza nao mwezi hautatoa nuru yake;

Tazama sura Nakili

Marko 13:24
20 Marejeleo ya Msalaba  

Bali ninyi mwe macho: nimekwisha kuwaonyeni yote mbele.

Maana siku ya Bwana itakuja kama mwizi usiku; katika siku biyo mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu, na viumbe vya asili vitaunguzwa, na kufumuliwa, na inchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea.

mkitazamia hatta ije siku ile ya Mungu, na kuihimiza; ambayo katika hiyo mbingu zitafumuliwa zikiungua, na viumbe vya asili vitateketea na kuyeyuka.

Nikaona kiti eba enzi, cheupe, kikubwa, nae aketiye juu yake; inchi na mbingu zikakimbia nso wake, na mahali pao hapakuonekana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo