Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 13:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Na kama Bwana asingalizikatiza siku zile, asingeokoka mtu aliye yote; lakini kwa ajili ya wateule aliowateua amezikatiza siku zile.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Kama Bwana asingepunguza siku hizo hakuna binadamu ambaye angeokolewa. Lakini kwa ajili ya wateule wake, Bwana amezipunguza siku hizo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Kama Bwana asingepunguza siku hizo hakuna binadamu ambaye angeokolewa. Lakini kwa ajili ya wateule wake, Bwana amezipunguza siku hizo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Kama Bwana asingepunguza siku hizo hakuna binadamu ambaye angeokolewa. Lakini kwa ajili ya wateule wake, Bwana amezipunguza siku hizo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 “Kama Mwenyezi Mungu hangefupisha siku hizo, kamwe hakuna mtu yeyote angeokoka. Lakini kwa ajili ya wateule, wale aliowachagua, amezifupisha siku hizo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kama Mwenyezi Mungu asingelifupisha siku hizo, kamwe asingeliokoka mtu yeyote. Lakini kwa ajili ya wateule, wale aliowachagua, amezifupisha siku hizo.

Tazama sura Nakili

Marko 13:20
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na kama siku zile zisingalikatizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitakatizwa siku zile.

Kwa maana siku zile zitakuwa na shidda jinsi isivyokuwa tangu mwanzo wa kuumba alipoumba Mungu hatta sasa, wala hazitakuwa kamwe.

Na wakati huo mtu akiwaambieni, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko huko, msisadiki:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo