Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 13:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Lakini mlionapo chukizo la uharibifu (lile lililoneuwa ua nabii Danieli) likisimama pasipolipasa (asomae na afahamu) ndipo walio katika Yahudi wakimbilie milimani;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 “Mtakapoona ‘Chukizo Haribifu limesimama mahali ambapo si pake, (msomaji na atambue maana yake), hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 “Mtakapoona ‘Chukizo Haribifu limesimama mahali ambapo si pake, (msomaji na atambue maana yake), hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 “Mtakapoona ‘Chukizo Haribifu’ limesimama mahali ambapo si pake, (msomaji na atambue maana yake), hapo, walioko Yudea wakimbilie milimani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 “Mtakapoona ‘chukizo la uharibifu’ limesimama mahali pasipolipasa (asomaye na afahamu), basi wale walio Yudea wakimbilie milimani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 “Mtakapoona ‘chukizo la uharibifu’ limesimama mahali pasipolipasa (asomaye na afahamu), basi wale walioko Uyahudi wakimbilie milimani.

Tazama sura Nakili




Marko 13:14
14 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu aliwaambia, Mmeyafahamu haya yote? Wakamwambia, Naam, Bwana.


Ndugu, msiwe watoto katika akili zenu; illakini katika uovu mwe watoto wachanga, bali katika akili zenu mwe watu wazima.


Yu kheri asomae, nao wayasikiao maneno ya unabii huu na kuyafanya yaliyoandikwa humo: maana wakati ni karibu.


Hapo udipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya nyama huyo: maana ni hesabu ya mwana Adamu; na hesabu yake ni Sita mia, sittini na sita.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo