Marko 13:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Na watakapowachukueni, na kuwateni katika mikono ya watu, msianze kuwaza mtakayosema, wala msishughulike: lakini lo lote mtakalopewa saa ile, lisemeni: kwa maana si ninyi mseniao, hali Roho Mtakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Nao watakapowatieni nguvuni na kuwapeleka mahakamani, msiwe na wasiwasi juu ya yale mtakayosema; saa ile itakapofika, semeni chochote mtakachopewa, maana si nyinyi mtakaosema, bali Roho Mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Nao watakapowatieni nguvuni na kuwapeleka mahakamani, msiwe na wasiwasi juu ya yale mtakayosema; saa ile itakapofika, semeni chochote mtakachopewa, maana si nyinyi mtakaosema, bali Roho Mtakatifu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Nao watakapowatieni nguvuni na kuwapeleka mahakamani, msiwe na wasiwasi juu ya yale mtakayosema; saa ile itakapofika, semeni chochote mtakachopewa, maana si nyinyi mtakaosema, bali Roho Mtakatifu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Mtakapokamatwa na kushtakiwa, msisumbuke awali kuhusu mtakalosema. Semeni tu lolote mtakalopewa wakati huo, kwa kuwa si ninyi mtakaokuwa mkinena, bali ni Roho Mtakatifu wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Mtakapokamatwa na kushtakiwa, msisumbuke awali kuhusu mtakalosema. Semeni tu lolote mtakalopewa wakati huo, kwa kuwa si ninyi mtakaokuwa mkinena, bali ni Roho wa Mwenyezi Mungu. Tazama sura |