Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 13:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Tena sharti Injili ikhubiriwe kwanza katika mataifa yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Lakini lazima kwanza Habari Njema ihubiriwe kwa mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Lakini lazima kwanza Habari Njema ihubiriwe kwa mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Lakini lazima kwanza Habari Njema ihubiriwe kwa mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Nayo Injili lazima ihubiriwe kwanza kwa mataifa yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Nayo habari njema lazima ihubiriwe kwanza kwa mataifa yote kabla ule mwisho haujawadia.

Tazama sura Nakili




Marko 13:10
10 Marejeleo ya Msalaba  

Watu wa Ninawi watasimama siku ile ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, nao watakihukumu: maana wao walitubu kwa makhubiri ya Yunus; na hapa yupo aliye mkuu kuliko Yunus.


Na injili hii ya ufalme itakhubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; ndipo ule mwisho utakapokuja.


Akawaambia, Enendem nlimwenguni mwote, mkaikhubiri injili kwa killa kiumbe.


Kwanza namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa kuwa imani yenu inakhubiriwa katika dunia yote.


Lakini nasema, Wao hawakusikia? Naam, wamesikia, Sauti yao imetoka ikaenea katika inchi yote, Na maneno yao hatta miisho ya ulimwengu.


katika nguvu za Roho Mtakatifu; hatta ikawa tangu Yerusalemi, na kando kando yake, hatta Illuriko nimekwisha kuikhubiri Injili ya Kristo kwa utimilifu,


mkidumu tu katika imani, mmewekwa juu ya misingi, mkawa imara; msipogeuzwa na kuliacha tumaini la Injili mliyosikia khabari zake, iliyokhubiriwa katika viumbe vyote vilivyo chini ya mbingu; ambayo mimi Paolo nalikuwa mkhudumu wake.


iliyofika kwenu, kama ilivyo katika ulimwengu wote, ikizaa matunda na kukua, kama na inavyokua kwenu, tangu siku mliposikia nikaifahamu sana neema ya Mungu katika kweli;


Nikaona malaika niwingine akiruka kati kati ya mbingu, mwenye injili ya milele, awakhubiri wakaao juu ya inchi na killa taifa na kabila na lugha na jamaa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo