Marko 13:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 HATTA alipokuwa akitoka hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake akamwambia, Mwalimu, namna gani ya mawe! namna gani ya majengo! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu alipokuwa anatoka hekaluni mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, “Mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo ya ajabu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu alipokuwa anatoka hekaluni mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, “Mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo ya ajabu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu alipokuwa anatoka hekaluni mmoja wa wanafunzi wake alimwambia, “Mwalimu, tazama jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo ya ajabu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa alipokuwa akitoka Hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake akamwambia, “Mwalimu! Tazama jinsi mawe haya yalivyo makubwa, na majengo haya yalivyo mazuri!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa alipokuwa akitoka Hekaluni, mmojawapo wa wanafunzi wake akamwambia, “Mwalimu! Tazama jinsi mawe haya yalivyo makubwa, na majengo haya yalivyo mazuri!” Tazama sura |